Polisi wana kazi kubwa sana

Polisi wana kazi kubwa sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Huyu baba anaomba polisi wamruhusu aingie bungeni kupeleka muswaada wa Ijumaa iwe siku ya mapumziko, watu wafanye kazi mpaka Alhamisi.

Aliambiwa bunge limefungwa na hakuna mtu ndani. Akaulizwa mwenzetu unatokea wapi? Aliwajibu anatoka hospitali ya vichaa, yeye ni mgonjwa wa HIV na kichaa.

Hataki kukaa tu na kupata hela ya bure, hapo alipo ana hela nyingi sana.
 

Attachments

  • 8895F84C-0CA1-4CEF-95EE-D9D25CDDBA3A.MP4
    9.2 MB
Back
Top Bottom