Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Mwandishi wa habari wa Sunrise Radio Arusha ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv Online Alphonce Kusaga Mwandishi wa Wananchi Kusaga Amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Arusha Leo Tarehe 4 /11/2025 na kisha kwenda kupekua nyumbani kwake,kisha kurudi nae tena Kituo kikuu cha kati Arusha.
Mpaka hivi sasa waandishi wa habari wengine wapo kituoni hapa kujua sababu ya kukamatwa kwake na namna anavyoweza kupata Dhamana.
Ikumbukwe kuwa Mwandishi mwingine wa Millard Ayo Arusha Godfrey Thomas alikamatwa tangu Tarehe 29 mwezi Jana (Siku ya uchaguzi)