Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza.
Wanataka dunia isijue kilichotokea.
Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha.
Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta matukio kwenye cctv