GE2025 Polisi wanaleta maigizo! Wameanzisha kampeni za kukataa maandamano Oktoba, 29

GE2025 Polisi wanaleta maigizo! Wameanzisha kampeni za kukataa maandamano Oktoba, 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Hizi post za Polisi kutoa elimu ya kukataa maandamano zinavichekesho sana,

Yani naona hizi kampeni zao ni zakutunga sana! Embu icheki hii jamani

Screenshot 2025-10-14 223626.png
 
wamejitahidi kwa ubunifu walichewa sana sio vitisho hoja inajibiwa kwa hoja
 
🤣 kuna boda alibakiza mwezi amalize mkataba, sangapi asinyang'anywe chombo. Imebidi tumuonee huruma na kumnunulia nyingine mpya. Hivyo sioni mantiki ya mkataba na vurugu.
 
Hapo kwenye Helmet abandike picha ya Lissu akiwa amezungukwa na maaskari magereza wa mahakamani, tuone kama atamaliza mkataba.
 
Hao boda boda ndio kundi lengwa,likipuruchuka hilo ndio kwisha kazi maji itabidi yaloe tu
 
Hizi post za Polisi kutoa elimu ya kukataa maandamano zinavichekesho sana,

Yani naona hizi kampeni zao ni zakutunga sana! Embu icheki hii jamani

View attachment 3488754
Hii nchi hii kila sehemu siasa ila nilichofugundua watawala ni waoga sana hasa wanapoona ndoto zao za kuishi kifalme zinanyeshushwa na watumwa wao wanapata akili waoga mno.
 
Mapolisi wenyewe ndio hao wa aina ya afande kaaya na elimu ya mchongo, unategemea nini tena
 
Naziona kila dalili za polisi kubadilisha uniform, na kuvaa nguo za nyumban kuungana na wananchi, na kuwaelekeza Raia jinsi ya ku escalate mambo, ikiwemo kuchoma kituo cha Taifa gesi, yale matanki ya mafuta yalipo karibu na bandari , wawe makini nayo….nimekaa pale
 
Jeshi letu la polisi vilaza wako wa kutosha eti fundi friji ndio mtaalam wa mambo ya mitandao hahahhhaaa
 
Back
Top Bottom