Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
😁😁kwa hiyo polisi wanaunga mkono yule anithi wa akili aendelee kutuongoza 🙄Hizi post za Polisi kutoa elimu ya kukataa maandamano zinavichekesho sana,
Yani naona hizi kampeni zao ni zakutunga sana! Embu icheki hii jamani
View attachment 3488754
Hii nchi hii kila sehemu siasa ila nilichofugundua watawala ni waoga sana hasa wanapoona ndoto zao za kuishi kifalme zinanyeshushwa na watumwa wao wanapata akili waoga mno.Hizi post za Polisi kutoa elimu ya kukataa maandamano zinavichekesho sana,
Yani naona hizi kampeni zao ni zakutunga sana! Embu icheki hii jamani
View attachment 3488754