Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Wapelelezi wa kaunti ya Kitui wanamtafuta binti wa miaka 13 wakimhusisha na mauaji ya kijana wa miaka 5 ambaye mwili wake ulikutwa ukiwa umetupwa kwenye kichaka kilicho karibu na mto Mutendea.
Taarifa zinaeleza kuwa siku ya ijumaa wawili hao walikwenda kuchota maji katika mto uliopo karibu na nyumbani kwao lakini baadaye binti huyo alirejea nyumbani akiwa peke yake.
Aidha, wapelelezi waliokuwa wakifuatilia tukio hilo walibaini kuwa binti huyo alitoroka nyumbani kwao usiku wa tukio hilo na kwenda mahali kusikojulikana.
Aidha, Upelelezi huo ulianza mapema baada ya Mama wa kijana huyo kutoa taarifa katika kituo cha Polisi kuhusu kupotea kwa mwanaye na uchunguzi ulivyoanza ndipo mwili wa kijana huyo ulipatikana karibu na mto Mutendea.
Zaidi ya hayo, vipimo vya Postimotam vinatarajiwa kufanya Alhamisi ya wiki hii ili kuweza kubaini zaidi kisababisho cha kifo cha kijana huyo.
===
Zaidi Soma
Detectives in Kitui County are in pursuit of a missing 13 year old girl in connection with the murder of a 5 year old boy whose body was found dumped in a thicket near Mutendea River with his eyes were gouged out.
According to Benjamin Mwaka, a family member who spoke to Citizen Digital, the two – who are relatives – went to fetch firewood in a nearby bush on February 12 but the girl returned home alone in the evening claiming to have used a shorter route.
Detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) based in Kitui investigating the murder have since established that she disappeared from home later that night and her whereabouts are yet to be established.
Meanwhile, when the boy failed to return home , his mother reported him missing at Syongila Police Post upon which a search was mounted and the boy’s body found lying near Mutendea River at Kaveta sub-location.
Postmortem is set to be conducted on Thursday at the Kitui Level 4 Hospital morgue.
Source: Citizen