GE2025 Polisi wanatroti na kupasha misuli kila siku, wananchi tumeanza mazoezi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili.

Wakati polisi wakiendelea na maigizo yao ya vitisho raia tunafanya nini? Tunapeana mbinu za kusaivu katika kipindi hiki?

Mara nyingi kwenye maandamano ambayo hayasapotiwi na serikali, huingiza wahuni kufanya vurugu, wizi na hata mauaji ili kuhalalisha kuwa maandamano yalikuwa ni kwaajili ya kuleta vurugu nchini na hivyo kudiscourage maamdamano kuja kufanyika tena wakati wa baadaye, team maandamano tumejipanga vipi kukabiliana na hili?

Ule moshi unawasha jamani, kama macho yametiwa pilipili, tushajiandaa na namna ya kukabiliana nayo? Dawa za mswaki kwa wingi nini? Nk, nk, nk.

Unajua inabidi tuwe na nguvu za kusimama hadi akina Tesha watakapokuja kujiunga nasi.

Zimebaki siku 18 tu👁👁
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Wakuu,

Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili.

Wakati polisi wakiendelea na maigizo yao ya vitisho raia tunafanya nini? Tunapeana mbinu za kusaivu katika kipindi hiki?

Mara nyingi kwenye maandamano ambayo hayasapotiwi na serikali, huingiza wahuni kufanya vurugu, wizi na hata mauaji ili kuhalalisha kuwa maandamano yalikuwa ni kwaajili ya kuleta vurugu nchini na hivyo kudiscourage maamdamano kuja kufanyika tena wakati wa baadaye, team maandamano tumejipanga vipi kukabiliana na hili?

Ule moshi unawasha jamani, kama macho yametiwa pilipili, tushajiandaa na namna ya kukabiliana nayo? Dawa za mswaki kwa wingi nini? Nk, nk, nk.

Unajua inabidi tuwe na nguvu za kusimama hadi akina Tesha watakapokuja kujiunga nasi.

Zimebaki siku 18 tu👁👁
Hawatuwezi hao acha wajichoshe
 
na sisi wananchi tunapasha mkuu
 
Nimeanza kupunguza uzito na kukimbia kila siku asubuhi na jioni mpaka tarehe 29 wajiandae kunikimbiza wataona vumbi tu break ya kwanza Ikulu
 
Wayeyushe kwanza vitambi halafu tukutane siku ile yenyewe.
 
Wenye experienc na maandamamo waweke tips hapa namna ya kukabilia a na huo moshi+maji washawasha
 
Ndiyo sisi kama wanachadema tunafanya mazoezi ya kupiga mikwara mtandaoni kwa kuandika comment 60 ndani ya dakika 1
 
Hata Kama unakaa chumba kimoja hakikisha unapasha misuli .

Warm up ni muhimu .

#..............17 countdown
 
Usijali sana, mazoenzi ni muhimu lakini si ya lazima..

Wingi wetu ndiyo ngao kubwa kwetu sote. Hata kama huwezi kukimbia usihofu "kutoka", kwa sababu hatuna mpango wa kukimbizana na polisi. Wingi wetu utalazimisha polisi wakimbie'
 
Sasa kiongozi kuandamana na kukimbia kunahusiana nini ?
Nimeanza kupunguza uzito na kukimbia kila siku asubuhi na jioni mpaka tarehe 29 wajiandae kunikimbiza wataona vumbi tu break ya kwanza Ikulu
Mana
 
Back
Top Bottom