Hawatuwezi hao acha wajichosheWakuu,
Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili.
Wakati polisi wakiendelea na maigizo yao ya vitisho raia tunafanya nini? Tunapeana mbinu za kusaivu katika kipindi hiki?
Mara nyingi kwenye maandamano ambayo hayasapotiwi na serikali, huingiza wahuni kufanya vurugu, wizi na hata mauaji ili kuhalalisha kuwa maandamano yalikuwa ni kwaajili ya kuleta vurugu nchini na hivyo kudiscourage maamdamano kuja kufanyika tena wakati wa baadaye, team maandamano tumejipanga vipi kukabiliana na hili?
Ule moshi unawasha jamani, kama macho yametiwa pilipili, tushajiandaa na namna ya kukabiliana nayo? Dawa za mswaki kwa wingi nini? Nk, nk, nk.
Unajua inabidi tuwe na nguvu za kusimama hadi akina Tesha watakapokuja kujiunga nasi.
Zimebaki siku 18 tu👁👁
na sisi wananchi tunapasha mkuuWakuu,

Wayeyushe kwanza vitambi halafu tukutane siku ile yenyewe.Wakuu,

Jina lako Limekosa "F" tuNimeanza kupunguza uzito na kukimbia kila siku asubuhi na jioni mpaka tarehe 29 wajiandae kunikimbiza wataona vumbi tu break ya kwanza Ikulu
Nimeanza kupunguza uzito na kukimbia kila siku asubuhi na jioni mpaka tarehe 29 wajiandae kunikimbiza wataona vumbi tu break ya kwanza Ikulu
comment zna mwisho kijanaNdiyo sisi kama wanachadema tunafanya mazoezi ya kupiga mikwara mtandaoni kwa kuandika comment 60 ndani ya dakika 1
Wenye experienc na maandamamo waweke tips hapa namna ya kukabilia a na huo moshi+maji washawasha
watu wa mbeya watwambie watupe uzoef kipind cha abbas kandolo walifanikiwa vpWenye experienc na maandamamo waweke tips hapa namna ya kukabilia a na huo moshi+maji washawasha
ManaNimeanza kupunguza uzito na kukimbia kila siku asubuhi na jioni mpaka tarehe 29 wajiandae kunikimbiza wataona vumbi tu break ya kwanza Ikulu