Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 13, 2024 #41 Behaviourist said: View attachment 2867109 Click to expand... Hakuna madaraka ya milele
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jul 13, 2024 #42 Hiyo imeisha tayari! Ukiona wanakupiga danadana basi ujue hakuna kitakachoendelea. Na kwa kuwa raia kwa nchi hii ni mnyonge ili Watawala waishi hakuna namna ni kukubali kufia shimoni kama panya! Kwa kweli inasikitisha sana sana.
Hiyo imeisha tayari! Ukiona wanakupiga danadana basi ujue hakuna kitakachoendelea. Na kwa kuwa raia kwa nchi hii ni mnyonge ili Watawala waishi hakuna namna ni kukubali kufia shimoni kama panya! Kwa kweli inasikitisha sana sana.