Watanzania wajinga wanapungua kadiri ya siku. Ss wanatumia Dola zaidi, mbinu ovu kuandaa mazingira kupita bila kupigwa rais, na uchaguzi idadi ndogo wabunge na madiwani, sifa za kijinga, tutajuta sana 2021.... vikwazo. CDM wanalipa garama kubwa kutofika bei kuunga juhudi mgombea ccm!