Mada ni nzuri ila heading yake imenikwaza sana,pls pls tusitumie lugha hatarishi,polisi hawawezi kuwaogopa raia ila wanashirikiana nao,lugha kama hii inaturudisha nyuma na tuelewe kuwa since day one our President Samia anaongea lugha ya reconciliation kati yetu(ingawa ana uwezo wa kuongea kama mwendazake)nasi tujiongeze na kuwa pamoja ili Taifa letu hili liwe moja baada ya mwendazake kuharibu(mimi nilishaapa ndugu ccm sitomzika naye asije)tulifika kubaya mno!!Welldone kwa polisi wale kuamua kufanya ile technical withdraw (sio kuonyesha walikuwa dhaifu).