Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,117
Reaction score
4,772
Screenshot_20210803-133235.jpg

 
Wakati wa opresheni ya mwanzo ilisemekana waliuawa watu wengi wasiohusika na huo unaoitwa "ugaidi"
 
Hii Nayo Mpya, Una uhakika Wabongo "Jobless" Ndio Wanafanya Yayo uko Cabo-Delgado MOZAMBIQUE?? Possibly Maana Maisha Bongo Kwa Vijana Imekuwa Mtihani...
 
Labda ndo vijana wa kiislam ambao Hamza alikuwa analalamika kuwa polisi wanawafyekelea mbali.... Moto umeanza huko..
 
Back
Top Bottom