Polisi watafanya nini baada ya kuamriwa na Mahakama kuhakikisha watekaji wanafikishwa Mahakamani?

Polisi watafanya nini baada ya kuamriwa na Mahakama kuhakikisha watekaji wanafikishwa Mahakamani?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya utekaji wamekuwa wakikanusha au kupuuzia linapotokea.

Sasa matumbo joto huko wizara ya mambo ya ndani. Kaka mshana kaeleza kisa cha beni sanane ila katumia code nyingi ili kuondoa usumbufu wa hapa JF kufuta uzi ambao umetumia mda kueleza.

Tulizoea kuona wakipotea ndio basi kwamba tutapika kelele ila hakuna la kuwafanya sababu Timing walitupatia.

Kimbembe kipo kwamba kina taka wahusika waliokamatwa wafikishwe mahakani?

Pia soma: Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea

nataka kufananisha ni hii:
Kuna kisa kingine cha kutisha kilichotokea nchini Kenya kilichohusisha "Mauaji ya Mwenda Thuranira," mnamo mwaka wa 2021.

Mwenda Thuranira alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu na mfuasi wa hali ya juu wa harakati za kupinga ukatili wa polisi. Mnamo Machi 2021, Thuranira alikamatwa na maafisa wa polisi kwa tuhuma za ukiukaji wa sheria. Katika hali isiyoeleweka, Thuranira alifariki dunia akiwa katika mikono ya polisi.

Miili ya Mwenda Thuranira ilipatikana baada ya siku kadhaa, na ripoti za awali zilionyesha kwamba alikufa kutokana na majeraha yaliyosababishwa na vurugu na mateso aliyopewa na polisi. Mauaji haya yalikuwa na athari kubwa katika jamii, hasa kwa wafuasi wa harakati za haki za binadamu ambao waliona kisa hiki kama kielelezo cha matumizi mabaya ya nguvu na ukatili wa polisi.

Kuhusu matukio mbalimbali nchini ya watu kutekwa na watu wasiyojulikana soma: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Uchunguzi ulifanywa kuhusu kifo cha Mwenda Thuranira, na baadhi ya maafisa wa polisi walikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji na ukiukaji wa haki za binadamu. Kisa hiki kilionyesha umuhimu wa kudhibiti matumizi ya nguvu na kuhakikisha uwajibikaji wa maafisa wa polisi nchini Kenya.
 
Mbona hata kama Mahakama isingeamuru hivyo bado Jeshi la Polisi liko mstari wa mbele kufuatilia kuhakikisha watanzania mbalimbali walioripotiwa kupotea wanapatikana.
Au hujaona taarifa kwa umma iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za watu mbalimbali waliopotea na wengine kukutwa wamefariki maeneo mbalimbali nchini.?
Jitahidi kupunguza mihemko maana usidhani ni kazi rahisi kumtafuta mtu aliyepotea ambaye hakukuaga kuwa anaenda wapi na wala hujui sababu za kutoweka kwake.
Nyie ndiyo mnaharibu taswira nzuri ya nchi hii na kuleta taharuki kwa jamii.
 
mada wamebadilisha hapa sikuandika hivyo mpaka kichwa cha habari na kila nikuliza wamefuta.comment wanafuta ya pili
 
JF ni wapotoshaji malalamiko @modarator mnataka kubadilisha nilichosema kwa nini mmefanya hivyo.

Nime sema mahakama ingeitaji watuhumiwa ila polisi ina maiti mpaka sasa ukweli
 
Mbona hata kama Mahakama isingeamuru hivyo bado Jeshi la Polisi liko mstari wa mbele kufuatilia kuhakikisha watanzania mbalimbali walioripotiwa kupotea wanapatikana.
Au hujaona taarifa kwa umma iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za watu mbalimbali waliopotea na wengine kukutwa wamefariki maeneo mbalimbali nchini.?
Jitahidi kupunguza mihemko maana usidhani ni kazi rahisi kumtafuta mtu aliyepotea ambaye hakukuaga kuwa anaenda wapi na wala hujui sababu za kutoweka kwake.
Nyie ndiyo mnaharibu taswira nzuri ya nchi hii na kuleta taharuki kwa jamii.
Polisi haiaminiki nadhani ndio taasisi ya kwanza kutoaminika tanzania
 
Back
Top Bottom