Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Awadhi Haji amesema miongoni mwa waliokamatwa wamekutwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine gram 35, bangi kilo 63.6, mirungi kilo 9.3.