Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Wahakikishe wanafukua mpaka mizizi sio wakate Shina tu halafu baadae uchipue tena. JPM kipindi kile inshu ya Madawa ya kulevya aliorodheshewa ma drug dealer wote akaanza kushughulika nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote ni wanaume wa dar wanaokimbizwa na hivyo vitoto wakajifungia ndani na kuacha wake zao nje, ndio maana wanategemea polisi wakidhani ndio watawasaidia kumaliza tatizo lao linalotokana na wao wenyewe ambao ni wazazi wa vipanyaroad hivi!Kesho wewe au ndugu yako mtakuwa mistakenly killed, shabikia ujinga wa polisi
Kwa ninavyomjua huyo kamanda Awadh Hajj, hao wahalifu kazi wanayo,Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu.
Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Awadhi Haji amesema miongoni mwa waliokamatwa wamekutwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine gram 35, bangi kilo 63.6, mirungi kilo 9.3.