Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kesho wewe au ndugu yako mtakuwa mistakenly killed, shabikia ujinga wa polisiKazi nzuri wekeni hivi na pia muwaue wa kutosha, ueni hao watu pukutisha wote
Kama wamekiri kufanya uhalifu na ushahidi umewaumbua na wamekiri kuwa ushahidi ulioletwa mbele yao ni wao then why not wasiwe expelled?Kesho wewe au ndugu yako mtakuwa mistakenly killed, shabikia ujinga wa polisi
🤣🤣🤣Musipowataja Majina nayo hiyo ni movie kama za kamanda kova
Itakuwa bahati mbaya.Kesho wewe au ndugu yako mtakuwa mistakenly killed, shabikia ujinga wa polisi
...Wamekamatwa na Vitu vyote hivyo? Mpaka Magari? Hao Sasa Sio 'Panya Buku'!!Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu.
Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Awadhi Haji amesema miongoni mwa waliokamatwa wamekutwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine gram 35, bangi kilo 63.6, mirungi kilo 9.3.