Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kijijini Mjesani, Muheza.

Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka.

Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama.

Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho.

Mwili bado upo shambani.
 
Ingekuwa polisi wamepewa taarifa kuwa kuna mkutano wa CHADEMA umepangwa kufanyika hapo kijijini, nina uhakika polisi wangekuwa wameshafika mapema na muda huu wahusika wangekuwa wako mahabusu ya mkoa wa Tanga.
 
Mngewaambia kuna mkutano wa CHADEMA unafanyika shambani huko ulikokutwa huo mwili, dakika 20 nyingi wangeshakuwa wamefika polisi kama 80 hivi, wakiwa na washawasha 6 wkiongozwa na igp!
 
Kijijini Mjesani, Muheza.
Mzee mmoja alipotea juzi J3, wanakijj wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama.
Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
Wa kukaya
 
Ingekuwa polisi wamepewa taarifa kuwa kuna mkutano wa CHADEMA umepangwa kufanyika hapo kijijini, nina uhakika polisi wangekuwa wameshafika mapema na muda huu wahusika wangekuwa wako mahabusu ya mkoa wa Tanga.

Aibu kubwa kwa serikali inayojitanabaisha kuwatumikia wananchi.
 
Kwa lugha nyepesi polisi wanatekeleza maagizo ya wana siasa tu,ili kuwafurahisha na hii inatokea na teuzi zao za vyeo.

Vyeo vya polisi navyo viwe vya kozi na sio kama sasa ukiwa chawa wa kiongozi fulani unapata cheo. Dunia ipo mbele sana ila cc tupo nyuma sana imagine karne hii polisi wa Tanzania anapanda cheo kwa hisani ya mtu fulani. Na mfumo huu unafanya kazi hadi kwa majaji na kwa walimu wa shule za msingi na sekondari.

Polisi hawataacha kuwa wauaji kwa raia hadi mfumo wa upandaji vyeo vyao vibadilishwe na vinginevyo itakuwa hali hii hii ya kumfurahisha mtu fulani ili uonekane unafanya kazi na upande cheo.
 
Kijijini Mjesani, Muheza.
Mzee mmoja alipotea juzi J3, wanakijj wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama.
Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
Mngepiga simu kwa RPC, angejibu the same, mngepiga kwa IGP, angejibu the same, mngepiga kwa boss wao
 
Mngewaambia kuna mkutano wa chadema unafanyika shambani huko ulikokutwa huo mwili, dakika 20 nyingi wangeshakuwa wamefika polisi kama 80 hivi, wakiwa na washawasha 6 wkiongozwa na igp!
Absolutely, au waweke bendera ya CHADEMA hapo ulipo mwili.
 
Wana dharau Sana ..ila yangekua maandamano dk0 wamefika.
 
Back
Top Bottom