Wa kukayaKijijini Mjesani, Muheza.
Mzee mmoja alipotea juzi J3, wanakijj wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama.
Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
Ingekuwa polisi wamepewa taarifa kuwa kuna mkutano wa CHADEMA umepangwa kufanyika hapo kijijini, nina uhakika polisi wangekuwa wameshafika mapema na muda huu wahusika wangekuwa wako mahabusu ya mkoa wa Tanga.
Mngepiga simu kwa RPC, angejibu the same, mngepiga kwa IGP, angejibu the same, mngepiga kwa boss waoKijijini Mjesani, Muheza.
Mzee mmoja alipotea juzi J3, wanakijj wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama.
Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
PoliccmPolice ccm
Absolutely, au waweke bendera ya CHADEMA hapo ulipo mwili.Mngewaambia kuna mkutano wa chadema unafanyika shambani huko ulikokutwa huo mwili, dakika 20 nyingi wangeshakuwa wamefika polisi kama 80 hivi, wakiwa na washawasha 6 wkiongozwa na igp!