Polisi watengua Kitendawili cha JF na kuung'oa mmea hatari jijini

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,097
Baada ya mmea hatari kuota jijini Dar na kuripotiwa Jamii Forum.
Angalia:
https://www.jamiiforums.com/habari-...mea-hatari-umeota-kwenye-barabara-za-jiji.htm



Haikuchukua muda wanausalama au Polisi? walifika haraka na Defender na kuwaamrisha vijana waliokuwa kijiweni hapo waungoe haraka. Kumbe serikali inafuatilia na kutekeleza mambo ya JF. Hata hivyo wasomaji wengi walishindwa kutambua eneo lenyewe katika picha na hivyo kuzidiwa kete na makachero wa Mh Said Mwema. Sasa tambua eneo hilo katika picha hii ya pili. Cheers!!



Muonekano kabla


Muonekano wa Sasa



https://www.jamiiforums.com/habari-...mea-hatari-umeota-kwenye-barabara-za-jiji.htm
 
Hata ile video ya 'ugaidi' ushahidi si ulitegewa humu humu JF!!
 
yani wamepanda huo mmea hadharani......halafu umenawili ..sijui wanauwekea mbolea
 
Unaweza kukuta waliupanda wenyewe hao vijana wa Mwema. Ila wamepoteza muda wao tu kwani Bange ya sehem za joto kama Dar haina mzuka kabisa.
 
Hivi ndiyo bangi hiyo??? Kwa hiyo walikuwa wanajifanya kujificha kumbe mtu ananufaika nao kuharibu akili za wengine eh???
 
Nilivyoona mmea hatari nikafikiri labda ni mti wa Ntamanwa, kumbe ka bangi tu,tuulizeni sisi tunaoujua mmea ambao ukishakomaa hakuna chochote chenye uhai kinachoweza kuwa chini ya mti huo..
 
Boooooongo darisalam........tilalilalilalila......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…