King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu unaumiza kichwa tu bure ,kama umesoma CUBA maelezo ya Jumanne Muliro yapo wazi kabisa kwamba Katibu alikuwa anakula MZIGO.kwann umfate mtu anaekutongoza kwake? kwann kama hicho kitendo hakikumpendeza hakumweleza mumewe ambae ni boss wa huyo katibu mbona ni kama alikuwa anataka kuchomoa na mzigo upo ndani tayari ndomana alitumia njia ya kwenda kwake na mala....y mwenzake kwann alifanya siri kwa mume wake kama sio alikuwa anagogwa akataka kukatisha utamu na kijana alikuwa amenogewa..
Nimechekaaaaa😂😂😂Kumbe njia rahisi ya kumfanya afike kwako mwanamama huyu ni kumtumia meseji za mapenzi.
Iwe kwa kukubali au kuja kukuonya lazima atakuja.
Shangaa na wewe mkuu...kwanini aende kwakeHivi kweli kuombwa mapenzi ndo hadi mtu aende kwake kumwambia aache?
Je kwanini asimtie block tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tena na shoga yakoYaani mtu ananitongoza, halafu Mimi niende kwake nikamkataze aache kunitongoza?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Hii mbona haiingii akilini...huyu monica ni mtoto mdogo?
asante mkuuMkuu unaumiza kichwa tu bure ,kama umesoma CUBA maelezo ya Jumanne Muliro yapo wazi kabisa kwamba Katibu alikuwa anakula MZIGO.
Hiii ndioo point yenyewee sasa...tunazungushwaaa tuuuHadi hapa ni kweli masanja alikuwa anapigiwa. Mkeo anaendaje kwa mtu anayemtaka kumuambia hamtaki? Na kanisani wanakutana kwa nn wasielezane huko?
hili sakata lina pande mbili;Mke ndiyo wa kuhojiwa
Labda kama mke alishawahi
Mwambia mme wake kama katibu
Anammendeaga
Ova
Mwamba alikua anajiona Tanzania nzima yeye ndio kaoa mwanamke bora.
"Msukuma wangu Msukuma wangu"
Hiyo ni lugha tu ya funika kombe mwanaharamu apite
Demba nami nikutongoze afu uje kwangu kunikataza?Yaani mtu ananitongoza, halafu Mimi niende kwake nikamkataze aache kunitongoza?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Hii mbona haiingii akilini...huyu monica ni mtoto mdogo?
Mwisho mtadai na marehemu ahojiwe!1 mama mtumishi ahojiwe tu hata kama hawamuhisi kuwa amehusika na mauaji?Polisi wamerahisisha sana hili zoezi! Unathibitisha vipi hicho kifo, pasipo kumhoji Mama Mchungaji?
Ajabu sanaaaaaaaaa aiseee.Mwili umeshazikwa kisha ndio upelelezi ufanyike?
Au mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu?
Clouds imezunguzwa na police wame confirmNaona taarifa za kujiua Katibu mkuu wa Mchungaji Masanja wa Free Church zilitolewa na mapaparazi tu.
Je kuna taarifa zozote rasmi?
Huu ndio uhalisia wa mwanaume alokamilika..hongera sanaKuna umri huwezi kumwacha mke hata kwa bunduki maana kuanza upya ni kugumu zaidi. Hata mimi mwenyewe ilinitokea na mpaka leo ninaye
Wavulana hawawezi kuelewa ...hongerraAliliwa nikamkamata na kumsamehe. Umeelewa bwashee