Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

kwann umfate mtu anaekutongoza kwake? kwann kama hicho kitendo hakikumpendeza hakumweleza mumewe ambae ni boss wa huyo katibu mbona ni kama alikuwa anataka kuchomoa na mzigo upo ndani tayari ndomana alitumia njia ya kwenda kwake na mala....y mwenzake kwann alifanya siri kwa mume wake kama sio alikuwa anagogwa akataka kukatisha utamu na kijana alikuwa amenogewa..
Mkuu unaumiza kichwa tu bure ,kama umesoma CUBA maelezo ya Jumanne Muliro yapo wazi kabisa kwamba Katibu alikuwa anakula MZIGO.
 
Zile fununu kuwa mke wa masanja alikuwa anakwenda nyumbani kwa marehemu wakati mke wa marehemu yupo kazini ni kweli at that fact.

Sasa amezoea kwenda wakati mkewe marehemu hayupo na siku kabla ya tukio alikwenda kama desturi yake ila this time alikwenda na mtu mwingine kama polisi walivothibitisha.

Polisi waulize vizuri majirani .Majirani wanajua vizuri Sana ukaribu na kutembeleana kwa watu Hawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mke ndiyo wa kuhojiwa
Labda kama mke alishawahi
Mwambia mme wake kama katibu
Anammendeaga

Ova
hili sakata lina pande mbili;

1. Linamgusa Mke wa masanja, kwa kutanjwa kwenye Meseji inayo daiwa kuandikwa na Marehemu.

2. Utata wa kifo chenyewe; maswali ya kutafakarisha ni mengi sana, hapa Mwenye mke ana guswa zaidi, kama alihusika ama la.

3. ni kweli marehemu alijinyonga au alimalizwa mapema? baada ya kubainika anavunja amri ya 7?

Uchunguzi wa kina pekee ndio utatoa picha ya kila kitu, Jeshi la Polisi linapaswa lizame zaidi kuchimba.
 
Mwamba alikua anajiona Tanzania nzima yeye ndio kaoa mwanamke bora.

"Msukuma wangu Msukuma wangu"

Sasa Kwanini asitambe na Mwanamke bado ni mwaminifu. Hajawahi msaliti. Au wewe umeelewaje. Angekula wala asingehangaika kujiua.

Anaonekana ana ugonjwa wa akili. Imaginations zake na utoto umemfanya alipokosa ajiue. Acheni wivu watanzania wenzangu. One is innocent until proven guilty.

Hakuna mahali popote pamepnyesha mke wa Masanja alikuwa na mahusiano. Kwa ajili ya kipumbavu ya Huyu jamaa lazima angepiga picha.
 
Polisi inshort wameelezea last part ya barua.. Mwanzoni wa barua ya marehemu inashukuru kwa penzi zito alilompa na waliwekeana ahadi na marehemu aliiweka moyoni ..ila kitendo Cha kumwacha kimemuumiza Sana...So polisi wanaelezea tu last part ya kukataliwa mengine hawaweki wazi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Polisi wamerahisisha sana hili zoezi! Unathibitisha vipi hicho kifo, pasipo kumhoji Mama Mchungaji?
Mwisho mtadai na marehemu ahojiwe!1 mama mtumishi ahojiwe tu hata kama hawamuhisi kuwa amehusika na mauaji?

Kama Wapelelezi na daktari wamejiridhisha kuwa ni kifo cha kawaida au mwendazake hakuhujumiwa uhai na mtu mwingine,basi habari ya kipolisi ndio imeishia hapo, tusubiri habari motomoto kwenye magazeti ya udaku.
 
huyu mama ameulizwa kama marehemu alimtahadharisha swala la yeye kijiuwa mana ninavyojuwa huwezi jiuwa tu bila kupima attention wa huyo unaejiuwa kwajili yake lazima uone kama atabadili msimamo au la.? majibu yake yangerahisisha kutambua hii ni suicide or murder ...
20%suicide
60%murder
20%unknown
 
Back
Top Bottom