Tatizo wengi wamezoea waongo waongo!Wengi hawatakuelewa.
Mali si kitu ila kuanza maisha ni shida! Hujui utakayempata atakuwaje na kuishi pekee kwa umri wetu ni kujitafutia kifo cha harakaUliogopa kugawana mali mkuu
Yaniii achaga na mtu aliyeonja utamu ukamnogea halafu umkatishe...asee anakuwa kama fisi aliyejeruhiwaNi rahisii mnooo kumkataaa mtuu ambayee anakutongozaa na ajakukulaa...lkn ni vigumuu kumkataaa na kumshawishii mtu aliyekukulaa na akakuelewaa vilivyoooo..hapoo ndiooo ushawishi wa ziadaa unatakiwaaa kufanyikaaaaa ndichoo alichokifanyaa bibieeee
Makanisani huko hamnaga kitu kabisaSijawahi kuwaamini hawa mamdungayembe wa kanisani, bora hata fatuma ndala ndefu.
Hivi kweli kuombwa mapenzi ndo hadi mtu aende kwake kumwambia aache?
Je kwanini asimtie block tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Shangaa na wewe mkuu...kwanini aende kwake
Mwanamke/mke ukimsumbua sana kumtongoza na kama Ana mme!Ukiona Manyoya?????? Ujue .........
Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.Demba nami nikutongoze afu uje kwangu kunikataza?
Haahaa katibu kama katibuKatibu alikuwa anapewa MCHANGANYO MCHANGANYIKO ndio maana akapagawa.
Mwanamke/mke ukimsumbua sana kumtongoza na kama Ana mme!
Huwa anakutengenezea mtego akishirikiana na mme wake+wazee
Sasa kwanini mke wa mchungaji asingechukua hatua hiyo
Ni kama alikuwa anapenda
Ova
Htr....sanaKweli mkuu nishashuhudia sana fumanizi za kupangwa na mke na mume kisha jamaa anapigwa "VASELINE" na Mabaharia ,yaani kwa maelezo ya leo ya muliro ni wazi Kondoo na Mke wa Mchungaji walikuwa wanaondomolana.
Huwajui vizuri Wanawake, ukianza kuwaelewa tu basi ujue ushaelekea nukta ya kufa.Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.
Tena kapuyanga Sana tuHalafuu unawezajee kufungaa safari kwa mtu anayekutongozaaa?..Kama ingekuwaa ni hivyooo huko barabarani kungekuwaa hapatoshi kwa safarii za kwendaa kukataaa mitongozooo...Kuna kitu hakipoo sawaaa na why nyumbanii na sio kanisan sehemuu ambayoo wotee wanahudumuu?..mwanamkee mwezetuu amepuyangaaaa🙌
Inauma ila ndiyo maisha! Kuna umri hata K unaona ni kitu cha kawaida ujue!Huu ndio uhalisia wa mwanaume alokamilika..hongera sana
alienda kusitisha mahusiano kwamba kijana alishakula akala akala mama akaona itamletea shida akaamua amchukue mama mwenzake miliwa mwenzake wakamwombe kijana wasitishe mahusiano kijana akagoma na ndo mpaka kujiuwa.Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.
Kuibiwa mke/mme ni kawaida sana ila inategemea unavyolichukulia, dawa ya mwanamke au mwanaume malaya ni kumwacha na kuoa mwingine au kama unampenda na unaamini atabadilika msamehe kaa naye tuu, revenge, kupiga au kuua ni kujiongezea matatizo na familia yako, nilishuhudia kuna jamaa alimfumania mke wake akaishia kumuua na yeye kujiua kabla hajakamatwa, huku nyuma waliacha watoto watatu na chini ya miaka mitano ( it was a tragedy), haya mambo yanapita tuu na kesho unaweza kukutana na pisi kali kuliko mke/mme wako mpaka ukashukuru ulimfumania na ndoa ikavunjikaHuyo Masanja achunguzwe, asije akawa ametuma hitmen akiwa huko USA, kuibiwa mke sio kitu kidogo, kwamba Masanja alikuwa hajui kuhusu huko kutongozwa?
Sio uzembe jomba,Kuna uzembe mkubwa Sana ktk umefanyika Jeshi la polisi