Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Ni rahisii mnooo kumkataaa mtuu ambayee anakutongozaa na ajakukulaa...lkn ni vigumuu kumkataaa na kumshawishii mtu aliyekukulaa na akakuelewaa vilivyoooo..hapoo ndiooo ushawishi wa ziadaa unatakiwaaa kufanyikaaaaa ndichoo alichokifanyaa bibieeee
Yaniii achaga na mtu aliyeonja utamu ukamnogea halafu umkatishe...asee anakuwa kama fisi aliyejeruhiwa
 
Demba nami nikutongoze afu uje kwangu kunikataza?
Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.
 
Mwanamke/mke ukimsumbua sana kumtongoza na kama Ana mme!
Huwa anakutengenezea mtego akishirikiana na mme wake+wazee
Sasa kwanini mke wa mchungaji asingechukua hatua hiyo
Ni kama alikuwa anapenda

Ova

Kweli mkuu nishashuhudia sana fumanizi za kupangwa na mke na mume kisha jamaa anapigwa "VASELINE" na Mabaharia ,yaani kwa maelezo ya leo ya muliro ni wazi Kondoo na Mke wa Mchungaji walikuwa wanaondomolana.
 
Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.
Huwajui vizuri Wanawake, ukianza kuwaelewa tu basi ujue ushaelekea nukta ya kufa.
 
Halafuu unawezajee kufungaa safari kwa mtu anayekutongozaaa?..Kama ingekuwaa ni hivyooo huko barabarani kungekuwaa hapatoshi kwa safarii za kwendaa kukataaa mitongozooo...Kuna kitu hakipoo sawaaa na why nyumbanii na sio kanisan sehemuu ambayoo wotee wanahudumuu?..mwanamkee mwezetuu amepuyangaaaa🙌
Tena kapuyanga Sana tu
 
Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.
alienda kusitisha mahusiano kwamba kijana alishakula akala akala mama akaona itamletea shida akaamua amchukue mama mwenzake miliwa mwenzake wakamwombe kijana wasitishe mahusiano kijana akagoma na ndo mpaka kujiuwa.
Tambua ingekuwa hajaliwa taarifa angetoa kwa mumewe kwamba fulani ananisumbua..na kijana angeonywa au angepewa adhabu kali ikiwa ni pamoja na kupakaliwa mafuta..
 
Huyo Masanja achunguzwe, asije akawa ametuma hitmen akiwa huko USA, kuibiwa mke sio kitu kidogo, kwamba Masanja alikuwa hajui kuhusu huko kutongozwa?
Kuibiwa mke/mme ni kawaida sana ila inategemea unavyolichukulia, dawa ya mwanamke au mwanaume malaya ni kumwacha na kuoa mwingine au kama unampenda na unaamini atabadilika msamehe kaa naye tuu, revenge, kupiga au kuua ni kujiongezea matatizo na familia yako, nilishuhudia kuna jamaa alimfumania mke wake akaishia kumuua na yeye kujiua kabla hajakamatwa, huku nyuma waliacha watoto watatu na chini ya miaka mitano ( it was a tragedy), haya mambo yanapita tuu na kesho unaweza kukutana na pisi kali kuliko mke/mme wako mpaka ukashukuru ulimfumania na ndoa ikavunjika
 
Back
Top Bottom