Zipo post zake , ujumbe au maudhui yanafanana na ya mwenzie... Ile jumla, bwana mueza, hili nalo litapita.. Hawaonyeshi kuumizwa na hii kashfaMke nae ana post twitter?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo post zake , ujumbe au maudhui yanafanana na ya mwenzie... Ile jumla, bwana mueza, hili nalo litapita.. Hawaonyeshi kuumizwa na hii kashfaMke nae ana post twitter?
Hili jambo angalia mwenendo wa waathirika , utagundua kitu.. Masanja na mwenzi wake, hawaonyeshi kama wameumizwa na hili... Kwa twitter post zao.. Kama ni polisi ile ya mkoloni , hawa ndio wa kuanza nao.. Kuna uhai wa mtu umepotea.. Lakini jamii nyingi huwa zinamlinda mwenye nguvu na kinyonge kinaacha kijitetee chenyewe
Hata kama angekuwa mtu wa rika ya juu, kama uzinzi upo akilini kwake huwezi kuzuia kitu.Masanja naye anachukuaje kijana mdogo namna hiyo kuwa kama Katibu wa Kanisa, angalau angepata mtu wa rika la juu
Wanajua ukweli kuliko sie washabiki tunaoteseka na ukweli halisi hatuujui.Zipo post zake , ujumbe au maudhui yanafanana na ya mwenzie... Ile jumla, bwana mueza, hili nalo litapita.. Hawaonyeshi kuumizwa na hii kashfa
Tunasamehe Maisha yaende tunabeba.mapungufuHii kitu huwa kovu lake haliponi. Yashatukuta wengi si masanja peke yake!
Ukweli wanaujua na siku zote Mungu na shetani wanajua.. ila jamii inakataa hii script ya kutunga , ni hayo tu..Wanajua ukweli kuliko sie washabiki tunaoteseka na ukweli halisi hatuujui.
Whatever the case...nipo upande wao.
Mkuu ukiondoa nyuzi zako kikolo 😀,hizi nyuzi zingine uwa unanifurahisha sana,kama si ukolo wako ningeconvice watu humu tukujengee sanamu 😀Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Probably Mzee wa kanisa au mshauri wao mkuuHuyo mama mtu mzima ni nani
Wewe ukimfumania mke wako utamfanyaje huyo mjamaa?Ukweli wanaujua na siku zote Mungu na shetani wanajua.. ila jamii inakataa hii script ya kutunga , ni hayo tu..
Sasa mama mchungaji kaliwa, nini mzee wa kanisa. 🤣🤣Probably Mzee wa kanisa au mshauri wao mkuu
Naona taarifa za kujiua Katibu mkuu wa Mchungaji Masanja wa Free Church zilitolewa na mapaparazi tu.
Je kuna taarifa zozote rasmi?
Bado mnabagaza hizi habari?Katibu alikuwa anapewa MCHANGANYO MCHANGANYIKO ndio maana akapagawa.
'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.
Pia soma: IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi
========================
Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga
Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu
Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”
Kamanda Muliro ameongeza “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne