Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi


Polisi ifuatilie hili Jambo kwa undani. Pengine walimframe baada ya kumuua.
 
Mkuu ukiondoa nyuzi zako kikolo 😀,hizi nyuzi zingine uwa unanifurahisha sana,kama si ukolo wako ningeconvice watu humu tukujengee sanamu 😀
 
Nitakuwa wa Mwisho kuamini kuwa Mtu anaweza kujinyonga kwa ajili ya Mke wa Mtu. Aiseee hapana, hiyo haiwezekani.

Kujinyonga kwa Mke wako naweza nikakubali, ila kwa mke wa mtu. Hiyo kwangu ni Big no
 
Naona taarifa za kujiua Katibu mkuu wa Mchungaji Masanja wa Free Church zilitolewa na mapaparazi tu.

Je kuna taarifa zozote rasmi?

Taarifa ndio imetolewa na Polisi.. Jamaa akama alishika mkono vyomba vya habari, ukiangalia walio report ni wale waandishi wasio fahamika
 
'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…