Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Mmh umeongea kirahisi rahisi sana
 
Sio kwamba Katibu alikuwa anamtaka mama mama mchungaji Bali alikuwa anakula kabisa.
 
Kweli kabisa, Na kwann mama mchungaji aongozane na shoga yake na si mumewe? Watu mnakitana kanisani kila mara iweje wamfuate nyumbn kwake tena wanawake tu?
Labda walipigwa tena kachumbari huko kwa mwendazake ndio Mr Masanja akaona isiwe noma akajiongeza!?
Manake Mimi sioni ulazima wa mke wa mchungaji kwenda huko nyumbani kwa marehemu. Kwani hilo kanisa halina ofisi!!??
 
mkuu hicho kitobo kisikuapize kiasi hicho ni hatari sana
 
Amejiua mwenyewe halafu mwenye mke amuonee huruma ?

Mhhh
 
Polisi wanasema marehem ndio alikua anaomba mahusiano ya kimapenzi (anamtongoza) lakin walimwengu wame conclude walikua wapenzi duh hatar kwa kujiongeza
Hivi kweli kuombwa mapenzi ndo hadi mtu aende kwake kumwambia aache?

Je kwanini asimtie block tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwanamke ametia aibu sana, sasa pale madhabahuni huwa anaenda kufanya nini wakati anazini na katibu wa mumewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…