Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Marehemu ni mhuni pia 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali create kitu kinaitwa ''alibi''Tukubali kuwa wamemuua. Ndii maana masanja alitimkia marekani kabla ya kifo cha katibu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji122][emoji122] safi mkuuAliliwa nikamkamata na kumsamehe. Umeelewa bwashee
Hadi ameenda na mama mtu mzima maana yake ni kuwa jamaa alikuwa king'ang'anizi. Na mke alikuwa na nia ya dhoti ya kuacha alichokuwa anafanya. Monica anastahili msamaha.Hivi kweli kuombwa mapenzi ndo hadi mtu aende kwake kumwambia aache?
Je kwanini asimtie block tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Labda masanja anampendea huo uzinziSasa kama imethibitika huyu mama ni mzinzi, anasubiri nini kwa masanja? Arudi kwao akaendelee na uzinzi wake kwa uhuru
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Ukimtongoza mtu akukatae utajiua?Watanzania tunapenda sana kutoa mjumuisho na hukumu kwa habari ndogo ndogo bila ushahidi wa kutosha....... taarifa ya polisi inasema kuwa walikuwa na mawasiliano......katika hali ya kawaida lazima wawe na mawasiliano kwa kuwa hao wanafahamiana kimajukumu.........pia inawezekana pia ikawa kijana aliwaka tamaa akawa anamtongoza mama mchungaji.........
Lakini mpaka Sasa sijaona uthibitisho wa kuwa wawili hao walikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi........
Mbona kana kwamba tulikuwa tunatazamia habari kutoka kwenye familia hii muda wowote....
Kaka huu ushauri ni meubeba moyoni kwa moyo mmoja.Naendelea kuwakumbusha wanaume kuwa hakuna mwanamke ambae ni wa peke yako kwa sasa usitumie pesa nyingi ukidhani kuwa utamfanya mwanamke atulie wala usijali kupitiliza wanawake wa sasa ni majanga, hakuna mtu aliyekuwa anajifanya kuwa ana mapenzi kama Masanja kwa mkewe ila ona alichofanyiwa.
kwani masanja hayuko tz?Ali create kitu kinaitwa ''alibi''
Mwanaume gani huyo eti amtongoze mwanamke...akataliwe halafu ajiue.Polisi wanasema marehem ndio alikua anaomba mahusiano ya kimapenzi (anamtongoza) lakin walimwengu wame conclude walikua wapenzi duh hatar kwa kujiongeza
iTs said jamaa alikuwa usa by the time katibu anajiyoyomeshakwani masanja hayuko tz?
Masanja yupo USAkwani masanja hayuko tz?
Bado inatia shaka. Yani ujiue kwa kukataliwa na mke wa mtu?Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.
Pia soma: IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi
========================
Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga
Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu
Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”
Kamanda Muliro ameongeza “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne
Doooh nimeelewa kwa tabu sana
Aliliwa nikamkamata na kumsamehe. Umeelewa bwashee