Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Hivi kweli kuombwa mapenzi ndo hadi mtu aende kwake kumwambia aache?

Je kwanini asimtie block tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hadi ameenda na mama mtu mzima maana yake ni kuwa jamaa alikuwa king'ang'anizi. Na mke alikuwa na nia ya dhoti ya kuacha alichokuwa anafanya. Monica anastahili msamaha.
 
Halafu unakuta mke wako ndio analiwa kirahisi na houseboy au bodaboda
 
Ukimtongoza mtu akukatae utajiua?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kaka huu ushauri ni meubeba moyoni kwa moyo mmoja.
 
Hii taarifa ya polisi inasema masanja na mama mwingine walimfuata marehemu nyumbani kumuambia aache kutume texts za kumtaka!
 
Bado inatia shaka. Yani ujiue kwa kukataliwa na mke wa mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…