LGE2024 Polisi wathibitisha kumkamata Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kada wa CHADEMA, Stephen Chalamila

LGE2024 Polisi wathibitisha kumkamata Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kada wa CHADEMA, Stephen Chalamila

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa Mwanachama wa CHADEMA.

Taarifa ya Polisi imesema tukio la mauaji ya Chalamila lilitokea Novemba 26, 2024 saa 4:30 usiku katika Mtaa wa Chapwa A. ambapo marehemu alivamiwa na kushambuliwa na Watu Wasiojulikana kwa kitu chenye ncha kali Kichwani na Mikononi, akiwa Nyumbani kwake.

1732711367080.jpeg
 
Back
Top Bottom