Hii agenda ilianza kipindi cha mzee Reginald mengi hadi akalalamika kwenye tv yake ni ajenda ya raia feki kushika uchumi wote mkuu wa tz na njia zote za uchumi kuu...pia ni agenda ya kushika serikali yote kuwa mali yao binafsi ndiyo maana mnaona mambo ya ajabu yanaendelea nchini.JAMBAZI ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE NI WAHUSIKA WAKUUWakuu,
Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake?
Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa mstari wa mbele utafikiri anapewa headsup kuwa hii freshi unaweza kuripoti?!
Halafu tayari kulikuwa na taarifa ya Ulomi kupotea na kutafutwa na polisi, ina maana mifumo haisomani mwili wa mtu asiyetambulika unapopatikana toka tar 11 mpaka leo?🤔
Nawaza tu.... kuna ka kitu kanatengenezwa hapa.
Pia soma: Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024
View attachment 3178170
Sijui kama wengine hamuoni utata kwenye taarifa ya polisiWakuu,
Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake?
Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa mstari wa mbele utafikiri anapewa headsup kuwa hii freshi unaweza kuripoti?!
Halafu tayari kulikuwa na taarifa ya Ulomi kupotea na kutafutwa na polisi, ina maana mifumo haisomani mwili wa mtu asiyetambulika unapopatikana toka tar 11 mpaka leo?🤔
Nawaza tu.... kuna ka kitu kanatengenezwa hapa.
Pia soma: Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024
View attachment 3178170
Nani huyo aisaidie polisi sio unasema kunamtu tuKuna mtu anasema alimpigia marehemu kuwa anafuatiliwa na Landcruiser
Alipotajiwa namba ikaonekana namba za gari hilo ni za gari la Kahama ila liko Ilala
Hiyo ajali ilitokea eneo gani na mashuhuda ni nani
Hili jambo lina utata sana. Ina maana kipindi chote hiki hakuna aliyekumbuka kucheki hosptail?Aliharibika sura katika ajali??
Polisi wasaidiwe wapi tena wakati taarifa yao imekamilika?Nani huyo aisaidie polisi sio unasema kunamtu tu
Labda wasamaria wema, zahanati na hospital wote hawakupata taarifa ya kupotea kwake au hawakumtambua!Hili jambo lina utata sana. Ina maana kipindi chote hiki hakuna aliyekumbuka kucheki hosptail?