Baada ya kubanwa pesa zimerudishwa kwa ndugu wa marehemu na kuombwa wachukue maiti ili wazike lakini ndugu wamegoma kiasi cha fedha ni m.10 km nimekosea aliesikia vzr atanirekebisha maana taarifa yenyewe ilikua yakatakata.da!inasikitisha Tanzania maana anaetegemewa kurinda mali za raia ndie anaeiba tena na kuua ju
wanarudisha pesa tu! Vipi kuhusu uhai wa asiye na hatia walioutoa bila sababu za msingi?Baada ya kubanwa pesa zimerudishwa kwa ndugu wa marehemu na kuombwa wachukue maiti ili wazike lakini ndugu wamegoma kiasi cha fedha ni m.10 km nimekosea aliesikia vzr atanirekebisha maana taarifa yenyewe ilikua yakatakata.da!inasikitisha Tanzania maana anaetegemewa kurinda mali za raia ndie anaeiba tena na kuua ju
Jamani sio wote, ni baadhi. Mtu na ahukumiwe kwa matendo yake na si ku generalize.