Polisi waua Mfugaji na kumpora pesa

Polisi waua Mfugaji na kumpora pesa

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Taarifa ya habari imeonyesha kuwa huko Ulanga, Morogoro, polisi wamemuua mfugaji kwa kumpiga risasi na kisha kumpora fedha zake. Jamaa wa marehemu wamegoma kumzika hadi hapo uchunguzi utakapofanyika, licha ya jitihada za mkuu wa wilaya kuwashawishi wafanye hivyo.

Ulanga.JPG
 
Inasikitisha tena mashuhuda wamesema polisi walimwambia aangalie mbele na ndipo polisi wakam'shout
 
no problem, siku hizi wakiua raia mmoja wanauwa kumi-its a form of natural selection. nadhani the fitest will survive.
 
Shinogile ameumbuka tena. Pia wameludisha hule mpunga.(pesa) walokwapua kwa marehumu ngosha mipolisi ya bongo mijizi sana kuliko waarifu wanaowatafu
 
Baada ya kubanwa pesa zimerudishwa kwa ndugu wa marehemu na kuombwa wachukue maiti ili wazike lakini ndugu wamegoma kiasi cha fedha ni m.10 km nimekosea aliesikia vzr atanirekebisha maana taarifa yenyewe ilikua yakatakata.da!inasikitisha Tanzania maana anaetegemewa kurinda mali za raia ndie anaeiba tena na kuua ju
 
Subirini siku si nyiingi na wao watauwawa wawili
 
Baada ya kubanwa pesa zimerudishwa kwa ndugu wa marehemu na kuombwa wachukue maiti ili wazike lakini ndugu wamegoma kiasi cha fedha ni m.10 km nimekosea aliesikia vzr atanirekebisha maana taarifa yenyewe ilikua yakatakata.da!inasikitisha Tanzania maana anaetegemewa kurinda mali za raia ndie anaeiba tena na kuua ju

Hawa hawana tofauti na majambazi.
 
Nimeona kwenye habari za sa mbili inasikitisha sana, Sijui tunaelekea wapi
 
Bongo ni free country na kila mtu mbabe! hakuna serikali ila kuna wahuni wanaiendesha nchi! Welcome to Tanzania! a clock is ticking my beautiful country!! Ncho yoooote imekuwa kidnapped na wahuni!!
 
POleni sana watanzania wenzetu. Ninaamini uchunguzi wa kina utafanyika ili haki itendeke na sheria ichukue mkondo wake.
 
Baada ya kubanwa pesa zimerudishwa kwa ndugu wa marehemu na kuombwa wachukue maiti ili wazike lakini ndugu wamegoma kiasi cha fedha ni m.10 km nimekosea aliesikia vzr atanirekebisha maana taarifa yenyewe ilikua yakatakata.da!inasikitisha Tanzania maana anaetegemewa kurinda mali za raia ndie anaeiba tena na kuua ju
wanarudisha pesa tu! Vipi kuhusu uhai wa asiye na hatia walioutoa bila sababu za msingi?
 
mm ndio maana nasema bora mwema angekufa pale moro ikawa ngoma dro
 
Masikini nchi yangu,hali inazidi kuwa ya hatari.Polisi sasa wamekuwa majambazi na wauaji waliovaa sare.Nani wa kumuamini sasa kwa ajili ya usalama wetu na wa mali zetu sisi raia?Bado nina kumbukumbu ya wafanyabiashara wa madini wa mkoa huo huo wa morogoro waliouawa na kuporwa pesa na majambazi hao waliokuwa kwenye sare katika msitu wa Pande.
Je ni wangapi waliouawa na kuporwa mali zao huku wakisingiziwa kuwa ni majambazi?Wanawake wengi wamekuwa wajane na watoto wengi wamefanywa yatima na majambazi hao waliovalia sare.
Mungu ibariki Tanganyika!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jamani sio wote, ni baadhi. Mtu na ahukumiwe kwa matendo yake na si ku generalize.
 
Nchimbi ajiouzulu kwa kashfa hizi zinazolilenga moja kwa moja jeshi lake...
 
Jamani sio wote, ni baadhi. Mtu na ahukumiwe kwa matendo yake na si ku generalize.

Hao policcm "baadhi" tutawajuaje ktk kundi la "wote"? usiwe MPUUZ ktk mijitu MIPUUZ ambao hutetea WAPUUZ ktk matendo ya KIPUUZ!
 
Kila siku huwa nasisitiza hiki ki2 UNAFIKI NA KUKURUPUKA"" . Hapo hcho chombo cha habari kimekurupuka kwani huo mwili wa marehemu ulizikwa tarh 29. Na sio kama jinsi wao walivyoeleza.....kwenye kitaarifa chao cha habari hii ni chuki tu ya waandish wa habari kutaka kulichafua jesh la polisi kabisa siwakubali waandish wa habari ambao ukurupuka tu na kudanganya umma..,

Nikirudi narud na taarifa kamili najua mtanielewa tu.
 
Back
Top Bottom