Polisi waua Mfugaji na kumpora pesa

nimeiona jana ktk habari za ITV,inasikitisha kwa kweli
nadhani kunahaja ya wananchi nao kumiliki slaha,ili kuweza kuwa na mpambana sawa na wale wote wanaotumia slaha hizi kujipatia kipato ama kwa kazi yoyote
 
acha kutufanya hatuna macho wala masikio
tumeiona habari hii jana tarehe 29/01/2013,wewe unasema uongo,hivi mnataka kuwafanya watanzania ni wapumbavu si ndio?
 

Usikurupuke tu kubisha wakati polisi wenyewe kupitia kiongozi wao wamekiri kuusika baadhi yao waliohusika wameshakamatwa
 
polisi ...khaa wanakera sasa... na imezidi sasa...
 

inawezekana wewe ndo umekurupuka ndiyo maana huna taarifa yoyote,fanya kazi ya lindo kwanza ukitoka njoo useme tatizo lako tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…