Polisi waua Mfugaji na kumpora pesa

Polisi waua Mfugaji na kumpora pesa

nimeiona jana ktk habari za ITV,inasikitisha kwa kweli
nadhani kunahaja ya wananchi nao kumiliki slaha,ili kuweza kuwa na mpambana sawa na wale wote wanaotumia slaha hizi kujipatia kipato ama kwa kazi yoyote
 
Kila siku huwa nasisitiza hiki ki2 UNAFIKI NA KUKURUPUKA"" . Hapo hcho chombo cha habari kimekurupuka kwani huo mwili wa marehemu ulizikwa tarh 29. Na sio kama jinsi wao walivyoeleza.....kwenye kitaarifa chao cha habari hii ni chuki tu ya waandish wa habari kutaka kulichafua jesh la polisi kabisa siwakubali waandish wa habari ambao ukurupuka tu na kudanganya umma..,

Nikirudi narud na taarifa kamili najua mtanielewa tu.
acha kutufanya hatuna macho wala masikio
tumeiona habari hii jana tarehe 29/01/2013,wewe unasema uongo,hivi mnataka kuwafanya watanzania ni wapumbavu si ndio?
 
Kila siku huwa nasisitiza hiki ki2 UNAFIKI NA KUKURUPUKA"" . Hapo hcho chombo cha habari kimekurupuka kwani huo mwili wa marehemu ulizikwa tarh 29. Na sio kama jinsi wao walivyoeleza.....kwenye kitaarifa chao cha habari hii ni chuki tu ya waandish wa habari kutaka kulichafua jesh la polisi kabisa siwakubali waandish wa habari ambao ukurupuka tu na kudanganya umma..,

Nikirudi narud na taarifa kamili najua mtanielewa tu.

Usikurupuke tu kubisha wakati polisi wenyewe kupitia kiongozi wao wamekiri kuusika baadhi yao waliohusika wameshakamatwa
 
polisi ...khaa wanakera sasa... na imezidi sasa...
 
Kila siku huwa nasisitiza hiki ki2 UNAFIKI NA KUKURUPUKA"" . Hapo hcho chombo cha habari kimekurupuka kwani huo mwili wa marehemu ulizikwa tarh 29. Na sio kama jinsi wao walivyoeleza.....kwenye kitaarifa chao cha habari hii ni chuki tu ya waandish wa habari kutaka kulichafua jesh la polisi kabisa siwakubali waandish wa habari ambao ukurupuka tu na kudanganya umma..,

Nikirudi narud na taarifa kamili najua mtanielewa tu.

inawezekana wewe ndo umekurupuka ndiyo maana huna taarifa yoyote,fanya kazi ya lindo kwanza ukitoka njoo useme tatizo lako tuone!
 
Back
Top Bottom