Polisi wavamia boda ya Kasumulu - Kyela na kuwapokonya hela wanaobadili pesa

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
721
Reaction score
530
Imetokea boda ya Tanzania na Malawi ambapo polisi wamevamia na kuwakamata wananchi wanaochenji hela na kuwapokonya na pia kuwapakia kwenye costa na kwenda kuwalaza vituo vya polisi.

Vijana waliosalimika ni wale waliokimbilia upande wa Malawi sasa hatujui kosa ni nini hasa ambalo nchi na serikali ya Tanzania inataka kwa wananchi wake.
 
Wamekatwa Lini? Andika vizuri
 
Zinatafutwa za uchaguzi
 
Hapo ni kwamba serikali inakosa mapato katika kuchenji pesa ndio maana pana sehemu za kubadilishaia pesa ambazo zinatambulika kisheria
 

Kwani sheria za kubadili hela anasemaje?
 
Katoe taarifa polisi Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…