Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
OHOO,KUMBE TAMAA YA MADARAKA! tamaaa ya madaraka ndio huzaa udikteta kwa sababu hupendi wenzio pia wapate ulichonacho hiyo ya viongozi wa CCM sio tamaa tu bali ni urafi wa madaraka.Kilachoko choko mnayotaka kuleta lazima idhibitiwee. Usalama wa nchi nimuhim kuliko tamaa ya madaraka mliyonayooo
Wajinga Kama nyie, hivi wewe umezaliwa Dar kweli mbona mshamba sana au muhutu kabisaKilachoko choko mnayotaka kuleta lazima idhibitiwee. Usalama wa nchi nimuhim kuliko tamaa ya madaraka mliyonayooo
Changa la macho hilo kaka wanaotafutwa ni CHADEMA.. Hao ni safisha njia tuuACT Wazalendo si ni Chanda na Pete na CCM, Sasa mbona iko jumba bovu dondokea wao?
Eeh..![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]Kwa wale waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni 'Mama' shame on you all!
View attachment 1857825
Kwa hiyo katiba kaamua kuivunja halafu na sisi tukae kimya katiba inavunjwa. Nchi za afrika zina matatizo ndo mana trump alituita shitholeRais alishatoa msimamo wake alipojibu waandishi wa habari. Unataka aseme vipi zaidi uelewe?
Nakumbuka wakati fulani JK alikuwa anampa ushauri mkuu wa UDSM aliyechukua nafasi ya Profesa Mukandara alisema hivi: usirithi maadui wa mtangulizi wako,naona ushauri huu amempa pia Samia hivyo naye anatengeneza wahanga wake,hakika CCM ni ile ile.Alisema anaponya majeraha, LAKINI NAONA AMEAMUA KUTENGENEZA MAJERAHA YAKE...