Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

Wajinga Kama nyie, hivi wewe umezaliwa Dar kweli mbona mshamba sana au muhutu kabisa
Wewe boya kweli kuzaliwa ama kuishi dsm ndio nini sasa. una uzuzu sio wa nchi hii.
 
Mara paap maam anakuwa dikt kuliko stone. Kati ya mchawi Me na mchawi Ke nani afadhari?? Bible yangu inasema usimwache Ke a survive. Du sijui nimeandika nini
 
Naseama wapigwe tu hadi tuwe na tume huru ya uchaguzi....

Eti huelewi nina maana gani, Mimi mwenyewe sijuhi nimeandika nini!
 
Ghafla mama Samia anafanana na JPM kwenye treatment ya wapinzani wake, mama anapoteza mvuto na kule kukubalika kwa wananchi kunapotea
Mlipewa uhuru mkaanza matusi ,rejeeni matusi ya MDUDE
 
hawa police wanalaana
 
Kwani zitto anasemaje.
Tangu seif atangulie mbele za haki zitto kapatwa na ganzi mpaka sasa hasikiki tena yuke abdul nas kwa sasa kawa abudala
 
Kumuamini CCM yeyote awaye inataka kwanza ujitoe akili...
#katiba mpya
 
Kuhusu Katiba mpya ,mtakamata wengi mno. Hapa Arusha cdm wamechimbia kwenye ukumbi wanasuka mambo.
 
Mikusanyiko inahitaji kibali cha rais?
Sijasema mikutaniko inahitaji kibali cha rais. Hiyo ni haki ya kikatiba ambayo haihitaji kibali cha rais.

Nasema hao wanaouliza sana kama rais kaagiza au hajaagiza, nasema rais alivyojibu swali la waandishi wa habari kuhusu mikutano alikuwa kashaagiza, hivyo, suala la rais kaagiza au hakuagiza linaweza kuulizwa na watu wasiofuatilia mambo tu.

Rais kujibu swali la waandishi kwa kusema mikutano isubiri uchumi alishaagiza polisi waingilie mikutano hii kwa sasa. Kauli ya rais inachukuliwa kama agizo na hawa askari, hususan kwa sababu rais ni mkuu wa majeshi pia.
 
Nakosea ndugu zangu nikisema Samia ni dikteta!?

Ghafla mama Samia anafanana na JPM kwenye treatment ya wapinzani wake, mama anapoteza mvuto na kule kukubalika kwa wananchi kunapotea
 
Mikusanyiko inahitaji kibali cha rais?

Tamko la rais linaweza kutafsiriwa vibaya... Mikutano ya adhara watafanya wabunge ktk Jimbo lake na mikutano ya ndani inaruhusiwa kwa vyama vyote.

Jiulize serikali kwa nini inatumia polis kuzuia vikao vya wapinzani
Kuzuia harakati za mahitaji ya katiba mpya sio lazima kutumia nguvu au polis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…