Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ingeanza kwanza Serikali, ambayo Mahakamani, imekataa kuwa haijalifungia kanisa hilo kufanya shughuli zake, uwandani (field) polisi wanasema kuwa kuna amri imetolewa na serikali kusitisha kazi zote za kanisa hilo.Waumini wafuate sheria.
Walikua wanatarajia Gwaji Boy ajitokeze watokomee nae. Ila hajazuka kutoka mashimoni bado.Ingeanza kwanza Serikali, ambayo Mahakamani, imekataa kuwa haijalifungia kanisa hilo kufanya shughuli zake, uwandani (field) polisi wanasema kuwa kuna amri imetolewa na serikali kusitisha kazi zote za kanisa hilo.
Serkali hii inafungia makanisa tu huku tukishuhudia magaidi wakipewa msamaha na serkaliMnashindana na serikali wapuuzi kabisa nyie
Wewe ni kati ya wajinga wengi ambao ni zao la Elimu mbovu ya CCM, serikali inapoamua kukandamiza Uhuru wa raia kinyume cha Sheria lazima ipingwe. Hata wakoloni walikuwa na serikali na watu walishindana nazo. Funguka kichwa we zombi.Mnashindana na serikali wapuuzi kabisa nyie
Hakuna wa kushindana na mamlakaWewe ni kati ya wajinga wengi ambao ni zao la Elimu mbovu ya CCM, serikali inapoamua kukandamiza Uhuru wa raia kinyume cha Sheria lazima ipingwe. Hata wakoloni walikuwa na serikali na watu walishindana nazo. Funguka kichwa we zombi.
Serikali ni watu we mjingaMnashindana na serikali wapuuzi kabisa nyie
We kilaza usipangie watu pakufanyia Ibada. Mwambie na anayefungia makanisa afunge na misikiti ili wote tusalie vyumbani.Hakuna wa kushindana na mamlaka
Kama ni ibada hata chumbani kwako unaweza kufanya mpuuzi wew
Msikiti nao ukileta mazungumzo ya siasa ibadani unafungiwa tuWe kilaza usipangie watu pakufanyia Ibada. Mwambie na anayefungia makanisa afunge na misikiti ili wote tusalie vyumbani.
Mamlaka haziwezi kushindana na nguvu ya umma.
Mamlaka ya mafisadi na wauajiMsikiti nao ukileta mazungumzo ya siasa ibadani unafungiwa tu
Heshimuni mamlaka malofa nyie
Hao police ni wa nchi ganiSerikali imekana haijalifungia kanisa