NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Kizimkazi tafuta watekaji na wauaji
Hao police ni wa nchi gani
Ila kuna watu wamewazidi wenzao akili, sasa watu wanapayuka tu barabarani ndio kusali?Jeshi la Polisi Dar es Salaam limechukua hatua ya kuwataka waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kutawanyika mara moja na kwa amani, baada ya kanisa hilo kuendesha ibada njee ya eneo la kanisa licha ya agizo rasmi la kusitishwa kwa shughuli zake.
Tukio hilo limetokea siku chache tu baada ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoa tamko rasmi la kufuta usajili wa kanisa hilo, likidai kwamba limekiuka Sheria ya Jumuiya ya Kiraia (Sura ya 337). Ilisema kuwa madai yake yalikua na mwelekeo wa kisiasa, na yangeweza kusababisha chuki kati ya umma na serikali. Kwa mantiki hiyo, usajili wake ulisitishwa, na shughuli zote za kidini zilipaswa kusitishwa mara moja.
Matope tu umeandika, we unaweza kugoma? Mbn hukuenda?Wangegoma kuandoka na kufanya ibada yao wangewaua? Hiyo ingekuwa kesi kubwa sana muliro hangeepuka mashitaka hayo huko the hague
Hawa na wale wavaa kanzu wanaochanganya ''hakuuu.. fuuuu''kama zile treni za mkaa za zamani wakisema ni dhikiri wanani wanapiga kelele?Ila kuna watu wamewazidi wenzao akili, sasa watu wanapayuka tu barabarani ndio kusali?
ungeenda tu kanisa lingine kaka.Mungu yupo popote hata chumbani kwakoImagine nimetoka mwanza Kuja kusali hapo ubungo Kwa askofu gwajima halafu polisi wametuzuia.Tunakoelekea Nchi itanuka muda siyo mrefu.Hakuna wa kumshinda Mungu.Aluta continua...
Kusali Kwa wengi Kuna raha yakeungeenda tu kanisa lingine kaka.Mungu yupo popote hata chumbani kwako
Iheshimiwe mamlaka ni mamlaka tu hata ikiwa ya mashogaMamlaka ya mafisadi na wauaji
mamlaka ya nyoko!Hakuna wa kushindana na mamlaka
Kama ni ibada hata chumbani kwako unaweza kufanya mpuuzi wew