Polisi wavunja Ibada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima, wawataka Waumini kutawanyika

Ila kuna watu wamewazidi wenzao akili, sasa watu wanapayuka tu barabarani ndio kusali?
 
Ila kuna watu wamewazidi wenzao akili, sasa watu wanapayuka tu barabarani ndio kusali?
Hawa na wale wavaa kanzu wanaochanganya ''hakuuu.. fuuuu''kama zile treni za mkaa za zamani wakisema ni dhikiri wanani wanapiga kelele?
 
Naulizwa swali moja mbona kanisa katoliki wameshaongelea kuhusu utekaji na tume huru ya uchaguzi lakini halifungiwi kufanya shughuli zake nchini?
 
Imagine nimetoka mwanza Kuja kusali hapo ubungo Kwa askofu gwajima halafu polisi wametuzuia.Tunakoelekea Nchi itanuka muda siyo mrefu.Hakuna wa kumshinda Mungu.Aluta continua...
ungeenda tu kanisa lingine kaka.Mungu yupo popote hata chumbani kwako
 
Sasa waumini Wana kosa Gani ? Hii nchi ya kibwege sana yaani tumekusanyika kufanya ibada eti polisi wanakuja kututawanya? Hao askari ukiwaambia Kuna majambazi yanaiba na kuua sehemu Kila mmoja anatomea mlango na kutokomea
 
Hivi bongo hakuna brothers movement ya kujitoa muhanga ila unalipwa kabisa familia yako na nduguzo wataishi vizuri? Like jamaa walotekeleza September 11??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…