Polisi wawaache wanaotaka kuandama Desemba 9, Maana Watakuwa 2% Tu!

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.

Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.

Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
 
IMG-20251120-WA0055.jpg
 
Hiyo inaitwa acha upepo upulize tuone nyeti za kuku, Ukikaa mshale Ukisimama Nyuki ndo hali waliyonayo
 
Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.

Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.

Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Jidanganye tupo wengi sana
 
Mkiwa kwenye meli watu 500 hata mtu 1 tu akiipasua/akiitoboa, mnazama wote.

Kataa Maandamano, hifadhi Amani.
 
Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.

Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.

Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Akil yako imejaa mav
 
Waachwe wafunge barabara kwa mawe na wachome magari na uharibifu mwingine?
 
Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano?
Huyu huyu anayeendelea kuteka hadi leo??

hiyo 2% waachwe waandamane, ila wakiandamana na petrol tu tunawatuliza na za kichwa. hatuwezi kuvumilia ujinga
 
Wewe unaonekana ni kibaraka wa ccm ambaye unatakakutupa uoga.Na shida ya GEN-Z ya TZ ni waoga sana yaani wanatishwa tu kidogo,wengine wanaanza kujiunga na serikali.kwa muonekano huu inaonyesha hapa tz mabadiliko hakuna.
 
Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.

Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.

Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Ndivyo nyuumbu na machaawa mnavyojidanganya na kujipa matumaini hewa siyo? Haya, shauri yenu ila msilaumu.
 
Akil yako imejaa mav
Wewe mwendawazimu ngoja nikuzime kabisa. Sitaki comment za wasio na akili kwenye mada zangu.
Wewe unaonekana ni kibaraka wa ccm ambaye unatakakutupa uoga.Na shida ya GEN-Z ya TZ ni waoga sana yaani wanatishwa tu kidogo,wengine wanaanza kujiunga na serikali.kwa muonekano huu inaonyesha hapa tz mabadiliko hakuna.

Nitukane tusi jingine lolote lakini siyo kunifungamanisha na shetani CCM au hawa watawala mashetani, waua watu.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Back
Top Bottom