Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.
Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.
Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Jidanganye tupo wengi sanaTuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.
Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.
Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Akil yako imejaa mavTuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.
Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.
Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Waachwe wafunge barabara kwa mawe na wachome magari na uharibifu mwingine?Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.
Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.
Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Huyu huyu anayeendelea kuteka hadi leo??Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano?
Ombi letu kubwa ni hilo la kuzama woteMkiwa kwenye meli watu 500 hata mtu 1 tu akiipasua/akiitoboa, mnazama wote.
Kataa Maandamano, hifadhi Amani.
Wewe mwendawazimu ngoja nikuzime kabisa. Sitaki comment za wasio na akili kwenye mada zangu. Bye.Akil yako imejaa mav
Ndivyo nyuumbu na machaawa mnavyojidanganya na kujipa matumaini hewa siyo? Haya, shauri yenu ila msilaumu.Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18.
Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono Samia, lazima wanaiunga mkono na Serikali yake. Kama ukweli ndio huo, kuna haja ya Serikali kuhangaika na 2%? Si wawaache waandamane bila kizuizi chochote maana kwa idadi hiyo ya 2% hata barabara haziwezi kujaa. Hiyo idadi ndogo sana ya waandamanaji itakuwa ni nafasi ya kuionesha Dunia jinsi Samia anavyopendwa na kukubalika na umma wa Watanzania.
Kitendo chochote cha kutumia nguvu kuyazuia maandamano hayo itakuwa ni kupeleka ujumbe Dunia nzima kuwa Samia alipora uchaguzi, watu hawamtaki, anatumia nguvu, uharamia ili kuwepo madarakani.
Wewe mwendawazimu ngoja nikuzime kabisa. Sitaki comment za wasio na akili kwenye mada zangu.Akil yako imejaa mav
Wewe unaonekana ni kibaraka wa ccm ambaye unatakakutupa uoga.Na shida ya GEN-Z ya TZ ni waoga sana yaani wanatishwa tu kidogo,wengine wanaanza kujiunga na serikali.kwa muonekano huu inaonyesha hapa tz mabadiliko hakuna.