Issakson makanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 876 Reaction score 1,476 Nov 20, 2025 #21 Baljurashi said: Mkiwa kwenye meli watu 500 hata mtu 1 tu akiipasua/akiitoboa, mnazama wote. Kataa Maandamano, hifadhi Amani. Click to expand... Amani unaijua? Unaishi wap D9 tuje kukusalimia
Baljurashi said: Mkiwa kwenye meli watu 500 hata mtu 1 tu akiipasua/akiitoboa, mnazama wote. Kataa Maandamano, hifadhi Amani. Click to expand... Amani unaijua? Unaishi wap D9 tuje kukusalimia
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,875 Reaction score 12,665 Nov 20, 2025 #22 Kupangana kwingi Serikali hii asa kama rais anateua watu wakamchunguze wewe unawaza nini
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,330 Reaction score 4,048 Nov 20, 2025 #23 Wamesema lakini yatakuwa ya AMANi,yenye JUMBE mbalimbali
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 6,136 Reaction score 6,922 Nov 20, 2025 #24 La Victoria simpierre
toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,566 Reaction score 3,234 Nov 20, 2025 #25 Farolito said: Akitaka apime upendo wa aailimia 98 afungue comment,anaogopa nini? Click to expand... Attachments Screenshot_20251120-223118.png 102.5 KB · Views: 17