The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Nadhani wameanza tena chokochoko dhidi ya CHADEMA
Imetokea ktk mji mdogo wa Isaka katika Jimbo la Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga
Walikuwa on the way baada ya mkutano mkubwa mjini Kahama siku ya jana trh 18/5/2026. Walipofika Isaka kilometa kama 40 toka Kahama mjini, wananchi wenye mapenzi mema na CHADEMA waliusimamisha msafara wa CHADEMA Ili wafungue Moja ya kizimba cha tawi la CHADEMA...
Ghafla kutoka kusikojulikana, Polisi walijitokeza wakitii maelekezo ya CCM na kuzuia shughuli hiyo kufanyika..🤔🤔
Haieleweki ni sheria gani wametumia kuzuia hiyo shughuli. Bila shaka ni hofu tu dhidi ya CHADEMA..
The FEAR OF UNKNOWN inawasumbua sana CCM na Samia wao mwanamke hatari na muuaji kabisa..!!