Pre GE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

Pre GE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura.

Pia soma:
Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

1723108339943.png

Land Dwellers
 
Wamasai na kura...mmmh😀😀😀

Mbona sioni hao watu wa kuandamana hapo....?
 
Ni sawa wahame kwenye hifadhi.
 
Wataacha nan kwa boma ati ..na ng'ombe Nani atachunga
 
Watapiga kura kwenye mbuga/hifadhi ya wanyamapori, waende kuishi katika vijiji. Ufugaji wa kizamani utageuza nchi yote kuwa jangwa, waendelee kudhibitiwa. Mbona wakulima walihamishwa operation Vijiji vya Ujamaa toka ardhi za mababu zao. Mifugo, watu na wanyamapori kuishi pamoja mbugani ni shida tupu.
 
Back
Top Bottom