Watapiga kura kwenye mbuga/hifadhi ya wanyamapori, waende kuishi katika vijiji. Ufugaji wa kizamani utageuza nchi yote kuwa jangwa, waendelee kudhibitiwa. Mbona wakulima walihamishwa operation Vijiji vya Ujamaa toka ardhi za mababu zao. Mifugo, watu na wanyamapori kuishi pamoja mbugani ni shida tupu.