Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii.
Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu wanasimamishwa wilaya nzima KUSUBIRI MWENGE upite?