Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Mwalimu Nyerere alipigania Uhuru aikomboe Tanganyika iwe nchi huru kiuchumi, kisiasa, kijamii na kifikra. Wananchi wawe huru kutoa mawazo.
Wananchi wawe huru kuikosoa serikali na kuwa wazalendo wa kutetea raslimali za nchi. Wanaopinga uovu wa mikataba tunayoingia wanatutetea sisi sote mkiwepo na nyie mliofungwa midomo kwasasabu ya kazi zenu. Wanatetea kizazi chetu, chenu na watoto wenu. Kwanini mnawakamata?
Je, nyinyi siyo Watanzania? Wanasiasa wanawatumia leo kesho wata watupa. Wanasiasa wanapita lakini Tanzania itabaki. Kwanini mnawakamata? Ruto kakosolewa vibaya mpaka na maandamano, mbona hajawapa watu kesi za uhaini? Si mliona alichofanya Eric Omondi, ingekuwa ni hapa si mngemuua kabisa?
Polisi wetu tafadhali sana, msipokuwa na uchungu na nchi yetu basi mtatumika mno na hao jamaa watagonga wine huku nyie mkibaki kukaa kwenye nyumba kama mabanda ya kufugia kuku. Kila wananchi wakitaka kutetea nchi nyie mnakuja front, why?
Haya sasa angalieni watu wanataka kwenda Uganda kuanzisha power plant ilihali huku umeme duni. Anayekwenda kuanza hiyo biashara wala hajulikani mtaji kapata wapi.
Polisi wetu, polisi wetu Mungu anawaona. Kama nchi hii itabaki masikini daima, nyie mnamchango mkubwa na pepo mtaisikia tu.