Polisi wetu: Walinzi wa amani au watu wasiojulikana?

Polisi wetu: Walinzi wa amani au watu wasiojulikana?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Katika kila taifa linalojitambua, Jeshi la Polisi ndilo nguzo kuu la amani, usalama na mshikamano wa kijamii. Polisi hupewa jukumu la kulinda raia na mali zao, kuhakikisha sheria zinafuatwa, na kuwa ngao dhidi ya vitisho vya ndani na nje.
e1777c70-4cf8-11f0-8c47-237c2e4015f5.jpg.webp

Hata hivyo, maneno yanapotoka kinywani mwa viongozi wa juu wa polisi yakiahidi mauaji dhidi ya wananchi wanaoandamana kwa haki zao za kikatiba, maswali mazito huibuka: Je, bado polisi ni walinzi wa wananchi au wamegeuka kuwa watu wasiojulikana?
images (65).jpeg

Kauli tata za hivi karibuni zinazotolewa na baadhi ya makamanda wakuu, akiwemo Kamanda Muliro na hata kauli zinazohusishwa na IGP, zimeibua tafsiri kwamba jeshi hili limeshajitenga na raia wake. Hii ni hatari kubwa kwa sababu polisi ni sehemu ya jamii. Wamezaliwa miongoni mwa Watanzania, wamelelewa katika mazingira hayo hayo, lakini sasa wanapojitokeza hadharani kuwatisha wananchi kana kwamba wao ni maadui wa taifa, hali inabadilika na kuzua hasira.
images (66).jpeg

Swali linabaki: Ikiwa polisi wanasema wao watapiga risasi waandamanaji, wananchi wa kawaida watapaswa kuendelea kuheshimu sheria na taratibu ambazo polisi wenyewe hawaziheshimu? Ni ukinzani wa maadili unaoweza kuchochea uasi wa kiraia. Hii ndiyo sababu baadhi ya wachambuzi wa kijamii wanasema polisi wanapuuza kiini cha wajibu wao na kuanza kuonekana kama kikosi cha kulinda mamlaka ya mtu mmoja badala ya kulinda haki za watu wote.
images (67).jpeg

Watanzania wakianza kufanya revenge msione kama ni jambo la ajabu. Baba ni afisa wa polisi unakwenda kazini ile unarudi unaambiwq maiti ya mtoto wako imeokotwa Ununio. Au mke wako amevamiwa na wahuni na kubakwa pamoja na kufanyiwa vitendo vya ulawiti. Dakika moja unamuona dogo anakula Lollipop kumbe ina sumu ndani yake.
images (68).jpeg

Jeshi la Polisi likibaki katika msimamo wa kutoa vitisho badala ya suluhu, basi wananchi wataanza kuamini kuwa polisi si wao tena bali ni watu wasiojulikana waliovalia sare. Hali hii inawadhalilisha hata wale polisi wachache wenye dhamira njema.
images (69).jpeg

Kamanda Muliro na IGP wanapaswa kuelewa kauli zao zina nguvu kuliko risasi. Maneno yao yakitumika vibaya huua mshikamano wa kijamii, huondoa imani, na hatimaye huacha taifa likiishi kwa hofu. Lakini pia yanawapa nguvu wahuni ambao wanatambulika kwa jina la Wasiojulikana, Tanzania haitaji polisi wa vitisho; inahitaji polisi wa haki, ulinzi na amani.
 
Inabidi tarehe 29 utoke kuandamana ili uweze ku observe kama bado ni walinzi wa amani au watekaji
 
Nisha sema hao watekaji siku waji changanye watake kumbeba Mtu mbele yangu, lazima nimpasue mtu kichwa.
 
Inabidi tarehe 29 utoke kuandamana ili uweze ku observe kama bado ni walinzi wa amani au watekaji
Haujasoma umetazama kichwa cha habari pekee mkuu
 
Hatuna jeshi la polisi, tuna uvccm wenye bunduki.
 
Back
Top Bottom