Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

Duuuh!jamaa mmoja anaitwa Peter yupo M 500 tu ila dukq lake haliishi miez mitatu hawajafika,yan ss iv hadi kafilisika
 
Ni kwel mkuu,kunaa mtaa mmoja mengwe chin hapo mtaa wa makalema yaan n gongo na bangi inauzwa sema ndo ivo mkuu wq kituo na vijana wakr wanapita kuchukua fungu huku wakiwaacha wauzaji wakiendelea na kazi yao
 
Useri ndy balaa
Huko rombo wata wanapiga wanakimbilia Kenya na wakenya wakipiga wanakimbilia rombo

Ova
 
Nje ya mada.

Rombo inahujumiwa sana yani ni kama hakuna serekali viwanda bubu vya pombe vinamaliza nguvu kazi ya taifa.
 
rombo ni mpakani na kuna pesa nyingi sana za halali na magendo matajiri ni wengi, tena madon ila kwa biashara za magendo ni wabobezi haswa na kule kwetu Tarakea Maviwanda ya mbao ni kama yote na kila tajiri ana kiwanda na maduka makubwa ila hao matajiri ndo wanadedishana kinoma mana wanafanya biashara za share, na polisi ndo wasimamizi wa kupitisha magendo na wanapata pesa tamu. POLISI WA ROMBO ANAJILIPA SAWA NA MBUNGE.
 
Ni kweli kabisa. Kijiji cha Manda Chini kuna genge la waporaji na wauza gongo lakini cha ajabu polisi wa kituo cha Mengwe wanachukua salio na kuwajulisha taarifa zote wanazopata kutoka kwa wasamaria wema na wahanga wa matukio husika. Matokeo yake wananchi wanaogopa kutoa taarifa polisi pindi washambuliwapo na waporaji hao. Polisi wanawajua mpaka kwa majina lakini hawachukui hatua yoyote.
 
Siyo wizi tu, hata Halmashauri pale pameoza, kuna dharau viburi na upuuzi wote, mtu unaenda pale ofisini ukiwa na shida ila wanakuona kama myama fulani hivi fikiria mtu haswa watumishi wa chini unapeleka barua yako labda unataka kujibiwa lakini inachukua miezi na miezi bila kujibiwa na bila sababu, huu upuuzi unafanyika makusudi tu. Jafo tukimaliza Msiba wa Mh hayati Mkapa hebu shuka Rombo chap kwa Mkurugenzi umwambie ajaribu kuwabana hawa wasaidizi wake wanakera sana.
 
Bila shaka ujumbe umefika tunasubiri kuona vitendo
 
Rombo jografia yake imetulia kinoma sana we sema wapuuzi wachache wanazingua
 
Cha ajabu OCD anazo taarifa lakini anafanya siasa. Anafanya mikutano ya hadhara na wananchi na kutoa namba za simu badala ya kukamata wahalifu na kufukuza askari wezi wa kituo cha Mengwe.
I disagree!!
Ama mleta uzi ana chuki binafsi na baadhi ya Askari au amekuja tu Rombo akasikia porojo za kijiweni.
Tena afadhali usingemtaja kabisa OCD.
Na wacha niseme ukweli-Wakija Askari wachapakazi hapa Rombo,criminals wanawatafitia mizengwe ili waondolewe.

Tukirejea Siku za nyuma kabla ya OCD aliyepo-Crime ilikuwa juu sana-Amekuja Huyu OCD kijana ametembeza moto kila mahali Wilaya imetulia,Hanywi pombe si mtu wa kuna nyingi tyr mnaanza kuunda Zengwe.

Siamini kwamba Jeshi litakuwa kipofu lisitumie vyombo kujua hizi mbinu chafu DHIDI ya OCD Kitole.

Kama kuna Askari waovu mbona pale kwa DC kuna dawati la kero?

Wacha niseme-Huyu kijana si mnafiki na apewe Ushirikiano wa kutosha kwa sb anatusaidia sana hapa Rombo.

Hizi tuhuma zina jambo Ebu nyuma yake-can be an organized crime...!
 
Watakuwa wakenya hao, wachunguzeni vizuri
 

Dah.. nakumbuka nlifanya fild pale halmashauri 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…